Kikabwari

Kikabwari ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakabwari. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikabwari imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabwari iko katika kundi la J50.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search